Blogger Widgets

Tuesday, March 12, 2013

HII HAPA ILE STORI YA MSHKAJI ALIVYOGUNDUA MCHUMBA AKE NI MSAGAJI (LESBIANISM) SIKU CHACHE KABLA YA NDOA


Mshikaji anaeishi huko Lagos  Nigeria alimtembelea demu wake katika chuo kimoja (University) huko South – West lakini alichokuatana nacho hakuamini. Demu wake huyo alikua akijihusisha na kusagana (Lesbianism) akiwa Chuoni , Habari kutoka chanzo kimoja kinasema msichana huyo anatoka familia inayojiweza sana na baba yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Federal Civil Service. 

Demu na mshikaji wameshavalishana ndoa wanasubiri harusi tu lakini kwa sasa mvulana hana nia ya kuendelea na mipango ya harusi yao, Pia hajui afanyaje kwa sababu msichana huyo anamuomba msamaha na asikishe kwenye familia yake, Mshikaji anasema alikua serious sana katika mapenzi yao kabla ya tukio hilo.

0 comments:

Post a Comment