Blogger Widgets

Wednesday, March 6, 2013

hizi ndizo story za mapenzi mwanamke ambazo hatakiwi kumwambia mwanaume wake.

Ikiwa ni mda mfupi tu tangu uachane na jamaa wako/Mpenzi wako then unakutana na mpenzi mpya. Wanasema "Sikuzote kuwa muwazi kwenye mapenzi" lakini hakika kuna mambo hutakiwi kuwa muwazi kwenye mapenzi ambayo ukiwa muwazi yatakupelekea wewe kuachika kiurahisi.
Mambo ambayo hutakiwi kumwambia mwanaume wako mpya.
Kuhesabu/Kutaja idadi ya wapenzi uliowahikuwa naohasa kama wanafika 5:Wanawakebado wanaendelea kupitia kwenye mateso ya kuachika na kuumia kwenye mapenzi pasipo kujua jinsi gani kuishi kwenye mapenzi. Unapomwambia mpenzi wako mpya juu ya wapenzi uliowahi kuwanao kabla hasa idadi ikionyesha wanafika zaidi ya 5, mpenzi wako mpya atakuona kama sio msichana ambae ni wakutulia kwenye mahusiano. Mwanaume ataamini yakwamba kila mvulana ulio mtaja hapo wote tayari umesha lala nao kimapenzi.
Kumsifia mvulana uliyeachana naye kuwa ni mzuri kitandani: Mrembo hii sio sehemu sahihi kabisa ya kuitaja kwenye mapenzi. Kutaja kuwa jamaa yako uliyeachana naye amekufundusha style fulani na fulani, kueleza ex wako alikuwa anakaa mda gani wakati akitumbuiza uwanjani na alikuwa akifunga magoli mangapi kwa kumsifia, Hii itasababisha mpenzi wako mpya ajione kama hana kitu chochote kwako na kuku acha kiulaini.
Mimba ulizotoa ukiwa Secondari au College kama ilitokea: Wakati mwingine ex wako inawezekana alisha wahi kukupa ahadi mbali mbali ambazo zilikusababisha hadi ukajiachilia na mimba ikaingia, ila baadae ukaamuwa kuitoa. Mwaname yeyota ambaye anajuwa kwamba ulisha wahi kutoa mimba atajuwa wewe ni "Cheap" "Immoral" na mwanamke ambaye hatakuja kubeba mimba tena. So itakuwa easy kwa yeye kuku damp tena.
Kama ulisha wahi kuwa na Mlinzi au Mfanyakazi kwenu kimapenzi: Wasichana wengi wamekuwa wakichungwa sana, na wana hormone na wanahitaji kupata sex, wakati mwingine wanafikia kusex na walinzi wa kwao au wafanyakazi houseboy ili kujirizisha. Ukimwambia hivyo guy wako atakuona upo raisi sana na kama akiondoka safari utaweza kumsaliti.
Kusema kama Boss wako wa kiume anakusifia kuwa upo so sex: Wanaume wengi huwa na wasiwasi kutoka kwa ma boss wa kiume kuwa wanaweza kuwaibia wapenzi kutokana na madaraka na mzunguko wa kiuchumi na ajira. Unapo mweleza mpenzi wako juu ya hilo atadhani ni rahisi kwa wewe kuachilia unyumba maana yeye boss ndio muajiri kwako.
Kusaga au kusagwa: Wakati mwingine mashuleni haya yanatokea kwenye kusaga na kusagwa kutokana na kuwa na uhitaji wa kufanya sex lakini unakosa ntu wa kuku ridhisha,mwanaume anaamini yakwamba yeye yupo kwaajili ya kumridhisha mwanamke, sasa kama ulisha wahi kupitia usagwaji itakuwa haoni furaha ya kuwa na wewe.
Sehemu ambazo ulisha vuliwa nguo kiurahisi na kutowa ngono: Pengine ulisha zidiwa na nyege na ukaamuwa kujiachilia kiurahisi na kutoa sex, Mfanyo Chooni, Jikoni, Club nk. Mpenzi wako mpya atakuona upo rahisi na unaweza kuzidiwa pia ukaumwaga unyumba kiurahisis.

0 comments:

Post a Comment