
Baba mzazi anasema alianza kumnunulia Munge Magazeti akiwa darasa la nne.
Kwa mapenzi aliyonayo kwa
siasa, Munge anasema kwenye bunge la 9 la Kenya alikua ana uwezo wa
kutaja majina ya wabunge wote 222, yani anawajua wote kichwani, kwa
taarifa zaidi unaweza kutazama hii video hapa chini…
bonge la mtoto,, muache ale mpunga kuanzia utotoni, maisha yenyewe ndo haya.
ReplyDelete