Blogger Widgets

Friday, March 1, 2013

Picha (2005): Lady Jaydee, Collo na AY wametoka mbali

collo

Ukiwaona wanashine mjini wakiwa na miradi mingi na ya nguvu usidhani walifanikiwa kwa siku moja, wamehustle sana. Hii ni picha waliyopiga Lady Jaydee, AY na rapper Collo wa Kenya kwenye tuzo za Kora mwaka 2005 jijini Durban, Afrika Kusini.
Collo ametweet picha hiyo na kuandika: gud times we had.We still got it.Let’s take it 2 a whole new level.
Katika hatua nyingine AY na Collo wapo kwenye mkakati wa kufanya kitu kikubwa kama Collo alivyotease kwa Jide,” muhimu…I’ve missed yoll. we planning for somfin wit @AyTanzania …he shud keep u in the loop.”

0 comments:

Post a Comment