Blogger Widgets

Friday, March 1, 2013

Unafahamu? Lady Jaydee na Wakazi ni mtu na binamu yake?

Je wajua kuwa Judith Wambura Mbibo aka Lady Jaydee na rapper Webiro Wasira aka Wakazi ni mtu na binamu yake?
page
Baada ya kubaini mazungumzo yao kwenye Twitter yalionesha kuwa na uhusiano wa karibu, tumeamua kumuuliza Wakazi, yeye na Jide wakoje!!
“Jaydee ni mtoto wa baba yangu mkubwa. Anaanza baba yake Jide, anafuata baba mkubwa aliyefariki juzi halafu anafuatia baba yangu , mimi na Esther halafu anafuatia Mheshimiwa Steven Wasira,” Wakazi amesema

0 comments:

Post a Comment