Blogger Widgets

Saturday, February 16, 2013

Beyonce afunguka mbele ya Oprah kuhusiana na mahusianop yake na Jay Z | Video.

Video baada ya Story
Katika mahusiano ambayo wengi wamekuwa wakiyazungumzia na kuona hayana mlundiko wa skendo ni ya Jay Z na Beyonce. Hii ni clip fupi ikionyesha jinsi Beyonce akizungumzia juu ya mahusiano yake na rapa wa Marekani Jay Z kwenye kipindi cha Oprah.
Beyonce ameeleza hakuwa na mahusiano na Jay Z hadi walipo ishi kwa ukaribu na kujuana ndani ya mwaka mzima.
Tazama video hapa ambapo show kamili itakuwa kwenye OWN tomorrow night at 8pm.
© 24Hours Mix | Infotainment site 


0 comments:

Post a Comment